AI kwa Mitandao ya Kijamii

AI agent anayeweka kurasa zako hai na inbox ikijibiwa

Kupost kila siku na kujibu kila comment na message ni kazi ya muda wote. Agent wa Moran anapanga na kuandika posts kwa sauti yako, anajibu wanaokuandikia, na anawapeleka wanunuzi WhatsApp ambako mauzo yanafungwa.

Anza bure Ongea nasi

Mitandao ya kijamii inayoleta mauzo

Likes hazilipi kodi. Tanzania post inayowafanya watu wakuandikie WhatsApp ndiyo inayouza. Agent wa Moran anaandika posts kuhusu bidhaa ulizonazo stock, anajibu comments na messages kwa bei halisi, na anampeleka kila mtu anayevutiwa kwa agent wako wa WhatsApp afunge mauzo.

Posts kutoka katalogi yako

Stock mpya, ofa, vikumbusho na vidokezo, kwa Kiswahili au Kiingereza kwa sauti unayoidhinisha, zikipangwa kwenye calendar.

Comments na messages zinajibiwa

Maswali ya kawaida yanajibiwa kwa bei halisi; wanunuzi wanaalikwa WhatsApp.

Dashboard moja

Mitandao, WhatsApp, wateja, order na ripoti mahali pamoja.

Inafanyaje kazi

Unganisha kurasa

Facebook na Instagram business pages kutoka Social Media Manager.

Idhinisha sauti yako

Mwambie agent brand yako inaongeaje: ya mchezo, rasmi, Kiswahili kwanza.

Panga wiki kwa dakika

Agent anapendekeza posts za wiki kutoka bidhaa zako; unahariri na kuidhinisha, anachapisha kwa ratiba.

Geuza majibu kuwa mauzo

Wanaokuandikia wanajibiwa na kualikwa WhatsApp, ambako agent anachukua order.

Vilivyomo

Calendar ya content

Panga, hariri, idhinisha na chapisha kutoka calendar moja.

Kuandika posts kwa sauti yako

Captions, hashtags na wito wa kununua kwa Kiswahili na Kiingereza.

Msaada wa majibu

Rasimu au majibu ya comments na messages kwa bei zilizothibitishwa.

Kukabidhi WhatsApp

Kila mnunuzi anapelekwa kwa agent wako wa WhatsApp na muktadha wake.

Ripoti za mwitikio

Posts zipi zilileta messages na mauzo, si likes tu.

Salama

Hakuna kinachochapishwa bila idhini yako isipokuwa ukiwasha auto-publish.

Kwa biashara zinazouza kupitia Instagram na Facebook

Boutique, vipodozi, simu, samani, events, migahawa na brand yoyote ambayo wateja wanaigundua mitandaoni na kununua WhatsApp.

Fashion na boutiqueVipodoziSimu na electronicsSamaniEventsMigahawaMazoeziNyumba

Soma zaidi

Maswali kuhusu AI wa mitandao ya kijamii

Facebook na Instagram business pages, kutoka Social Media Manager kwenye dashboard, na WhatsApp ndipo mauzo yanafungwa.

Ikiwa tu utawasha auto-publish. Kwa kawaida agent anapendekeza na wewe unaidhinisha.

Ndiyo, Kiswahili, Kiingereza au vyote.

Hapana. Majibu yanatumia katalogi ile ile iliyothibitishwa.

Social Media Manager ni sehemu ya premium. Anza trial bure na utuombe tukuwashie.

Kurasa zenye shughuli,
WhatsApp inayoita.

Anza bure. Unganisha kurasa zako kwa dakika.

Anza bure